Natafuta marafiki.

Watakuogopa raia, hebu fafanua zaidi, rafiki wa keyboard, halisi, au yupi huyo..........

lengo ni kuwa na rafiki. Awe mzee au kijana Atakae niogopa sio rafiki wa kweli. Ninae mtafuta hapa niwa keybord ya pc na mobile phone ni rafiki wa kawaida tu sio mpenzi .sitaki kuswalishwa maswali wala sitaki kujieleza sana .
 
Sasa mbona mkali hivyo kakangu, kuwa mpole marafiki utawapata tu. Ungesema na hobbies zako manake asije akajiombesha urafiki Madame B ukawa wewe ni sheikh ama mchungaji. Utakuwa na kazi ya kumuombea tu.
 
Last edited by a moderator:

Duh hiyo blue hapo mie choka kabisa umekuwa mkali hivyo mpaka nimeogopa hata kukutumia PM
 
Sasa mbona mkali hivyo kakangu, kuwa mpole marafiki utawapata tu. Ungesema na hobbies zako manake asije akajiombesha urafiki Madame B ukawa wewe ni sheikh ama mchungaji. Utakuwa na kazi ya kumuombea tu.

King'asti hulali?
Au ndo uko Chama la Walala Naked Usiku Kucha (CHAWANAUKU)?
Huyo mtafuta marafiki tumpe Jumba la Sanaa ajichagulie.
 
Last edited by a moderator:
lengo ni kuwa na rafiki. Awe mzee au kijana Atakae niogopa sio rafiki wa kweli. Ninae mtafuta hapa niwa keybord ya pc na mobile phone ni rafiki wa kawaida tu sio mpenzi .sitaki kuswalishwa maswali wala sitaki kujieleza sana .

Mmmnh... Kwa ukali huuu... Haya kila la heri.!!
 
Mimi ni mme natafuta marafiki wa kike toka arusha aliyetayari ani pm umri wangu ni 32 awe na umri wowote ule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom