masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,678
- 12,350
Gym ipo location gani?
Mwanaume unaandikaje "oyah" kazi za kuvuta maneno muwe mnawaachia dada zenu
Hawa majamaa wengi wao wanakuwaga siorizikiWe jamaa smart sana, utapata warembo kama wote, nimependa tacktick yako.
Kudos
Wengi ni vyakula.Ndio maana wabeba vyuma mnafikiriwa vibaya mwanaume unawezaje kuandia "oyah"
Mwendee hewani mkanyanyue vyumaYan 'Oyah' n neno la kidada?
Unaonekana unaujua sana 'Udada'
Ngoja nkuache na ujinga wako
Mbona umeweka thread yako kwenye love connect?Mimi Kijana nina miaka 21 Ni gym trainer nilikuwa natafuta marafiki WANAOPENDA fittness kwa ujumla tupeane michongo na ma deal kadhaaa na kubadilishana mawazo KWA JINSIA ZOTE
Location Dar es salaam
WHATTSUP 0752446155
Gym trainer unalift bench 60 Kg... Nimeacha gym for three years ila 60 Kg kwangu ni kitu ninachokimudu mpaka sasa.
2015/6/7 nilikua na bench press 100 Kg reps 5.
Nasquat 80 Kg reps 8.
Shoulder press 50 Kg reps 10
Unless uwe unatumia poda na supplement zingine ndiyo maana unapiga hizo Kg.
Anyway mnaouliza gym kuna michongo gani gym kuna michongo ya kazi, biashara, yaani ni kama wewe unapokua kijiweni kwako na ukaambiwa Jumamosi kuna kazi ya kuserve kwenye sherehe.
Wengi ni vyakula.
Mwanaume utaingiaje mtandaoni unatafuta wanaume wenzako mkanyanyue vyuma?
Mimisijaelewa bado
Sijaanza kufanya nahitaj mtivation
Yaani sina mtu wa kfanya narAnza na jogn..
N zoez poa kwa wadada..
Wasukuma sijuwi mpoje kisa cha kumtukana mwenzio badala ya kumuelewesha kistaarabu isingekupunguzia chochote.Yan 'Oyah' n neno la kidada?
Unaonekana unaujua sana 'Udada'
Ngoja nkuache na ujinga wako
Mimi nilimaanisha weight ndogo mno.Bwana mdogo n muongo. Huwez kuwa na miaka 21 ukabeba Kg60
Mie kW sas Weight yng kwa bench n Kg120
Ila madogo weng wa wa Age ya bwana mdogo kufikia weight aloitaja n uongo..
Unaka wapi sista? Mimi ni daily runner.Yaani sina mtu wa kfanya nar
Mbezi
Anapenda dushe la wabeba nondoWengi ni vyakula.
Mwanaume utaingiaje mtandaoni unatafuta wanaume wenzako mkanyanyue vyuma?
Mimisijaelewa bado
Inategemea, Ulaji wake, muda gani amekuwa anapiga gym. Energy inajengwa mkuu, so yawezekana.Bwana mdogo n muongo. Huwez kuwa na miaka 21 ukabeba Kg60
Mie kW sas Weight yng kwa bench n Kg120
Ila madogo weng wa wa Age ya bwana mdogo kufikia weight aloitaja n uongo..
Unaka wapi sista? Mimi ni daily runner.
nenda wasafi joggingYaani sina mtu wa kfanya nar