Natafuta marafiki wafanyabiashara

Mimi ni mwanamke mjasiriamali.

Nimewaza na Nimeamua kutafuta marafiki wafanyabiashara hasa ya madini ili tupeane uzoefu na tekniks za kuhusu hii biashara (how to handle the game).

Iwe ni kota au anamiliki eneo la uchimbaji au awe ana mwalo nitafurahi pia..!

Mimi pia niko kwenye biashara hii
ya madini.

Nahitaji aliye serious tusaidiane na kubadilishana mawazo pia...iwe mwanamke au mwanamume!
Nasoma maoni nitachangia baadae
 
habari mkuu..

nipo interested kujua zaidi kuhusu business ya madini... nasikia inalipa sana ukiwa makini na knowledge kubwa

ni mfanyabiashara mdogo namilik massage & spa studio, dry cleaners, Tshirt printing workshops, na photo & video service kwenye weddings

Mimi ni mwanamke mjasiriamali.

Nimewaza na Nimeamua kutafuta marafiki wafanyabiashara hasa ya madini ili tupeane uzoefu na tekniks za kuhusu hii biashara (how to handle the game).

Iwe ni kota au anamiliki eneo la uchimbaji au awe ana mwalo nitafurahi pia..!

Mimi pia niko kwenye biashara hii
ya madini.

Nahitaji aliye serious tusaidiane na kubadilishana mawazo pia...iwe mwanamke au mwanamume!
 
Mnazungumzia haya makitu ?
IMG-20181229-WA0067.jpeg
IMG-20181229-WA0031.jpeg
 
Mimi ni mwanamke mjasiriamali. Nimewaza na Nimeamua kutafuta marafiki wafanyabiashara hasa ya madini ili tupeane uzoefu na tekniks za kuhusu hii biashara (how to handle the game).
Iwe ni kota au anamiliki eneo la uchimbaji au awe ana mwalo nitafurahi pia..!
Mimi pia niko kwenye biashara hii ya madini.
Nahitaji aliye serious tusaidiane na kubadilishana mawazo pia...iwe mwanamke au mwanamume!
Njoo imbox Dada, Mimi nlikua Blocker wa Dhahabu. Niliacha na kwenda kusoma lakn kwa sasa nipo tayar kwa kuanza kaz. Njoo tuongee mengi na kubadilishana mawazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom