Natafuta marafiki wafanyabiashara

Aaah wacha masihara mkuu wapi kuna mlio nije kukata vein au anzisha duara ntapata wafadhili tuπŸ˜€πŸ˜€
hahahaha aisee wewe umeshaasi kambi mkuu....mchimbaji unapaswa kuwa maskio juu juu hata usiku wa manane mlio ukiitika tu....ni kupapasa tochi iko wapi ponji mfukoni nyundo na moko vitapatikana mbele ya safari..
 
umeona kama hayo mkuu....ukisogea karibu ni ya njano kabisa kama unga wa uwatu...sasa hapo kuikata hiyo sulphur mpaka illusion unaenda umekuwa wa blue kabisa hahahahaa..
 
Attachments

  • IMG_20190627_174708.jpg
    289.6 KB · Views: 14
Ppm ianzie ata 2 Kama hamna changamoto yoyote kubwa
Mfano umbali ulipo udongo na plant ilipo
Changamoto ya sulphur na copper
tutawasiliana boss wangu....
Tchaot sisi ndo tunapotea hivyo.......tukitoka illusion unitumie namba ya ac nikuongezee mtaji wa nyanya hahahahaa..
 
Hhahahahh Hardrock never lie, ntatuma tu A/c no, najua pesa ya mawe ilivyo na kibur hasa kwa mchimbajiπŸ˜€πŸ˜€
hahahaahaha mkuu wachimbaji wana kiburi kuliko korea kaskazini....hujapata kumskia jamaa alihila akaenda kahama akanunua bati 100 halafu akakusanya wasukuma matoroli wote wa mjini kila mmoja akapewa bati moja abebe hahaha....ati madai yake anatoa sadaka kila mtu apate rizki....siunajua tunavyojua kuact tuna roho nzuri mkuu..
 
Hhahaha wachimbaji wanaviburi sana, usishangae mtu akishayaona mawe unaitwa we dogo njoo piga karai hapa halafu yy anakusimamia kwa karbu na bia mkononi πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hhahaha wachimbaji wanaviburi sana, usishangae mtu akishayaona mawe unaitwa we dogo njoo piga karai hapa halafu yy anakusimamia kwa karbu na bia mkononi πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
hahhaha halafu anakuuliza sh ngapi itakutosha..
na wanachowaza wao ni kununua kuluga (kluger) tuuu....utaiskia hiyo ina ngapi?!..
yani bei gani hahahaa..
 
hahhaha halafu anakuuliza sh ngapi itakutosha..
na wanachowaza wao ni kununua kuluga (kluger) tuuu....utaiskia hiyo ina ngapi?!..
yani bei gani hahahaa..
Hhahaha na akisha kulipa akwambia unaskia dogo uwe na nidhamu unaskia eehh, mm sio wa kuporora kijinga jinga πŸ˜€ πŸ˜€
Asante Sista Manengelo kwa uzi huu wengine umetupa hamasa na kumbukizi nzur na mbaya pia, natumai ulishawapata wafanyabiashara lengwa
 
hahahahahaaa ulitaka unichomereshe ili niperreee..
hiyo ni kwa wahusika wa kanda maalum waliookotwa nyamongo huko...
daah sana kaka kauzi kamesaidia sana tumejuana wapiga boya..
 
hahahahahaaa ulitaka unichomereshe ili niperreee..
hiyo ni kwa wahusika wa kanda maalum waliookotwa nyamongo huko...
daah sana kaka kauzi kamesaidia sana tumejuana wapiga boya..
Haahahh acha kaka tumejuana wapiga boya na mabosi wetu pia
Baadh ya vijana kanda maalum wanaspid hatar utashangaa mtu anaosha sa nane usku
Mfuko katoa wap na kasaga saa ngap anajue yeye πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kila la heri mchimbaji nitakuja matanda kutembea ila mzuka ukpanda ntasaula nizame tu duarani, naweza okoa hali bado teteπŸ˜€πŸ˜€
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…