Natafuta marafiki ke na me

Natafuta marafiki ke na me

pepim

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
335
Reaction score
52
Ninatafuta marafiki humu jf wa jinsia zote kwaajili ya kubadilishana nao mawazo, kuchati, kutembeleana n.k
Mimi nipo Singida, kwa aliye tayari anipm
 
...ayaaa ndo baasi tena duh...!
 
Ninatafuta marafiki humu jf wa jinsia zote kwaajili ya kubadilishana nao mawazo, kuchati, kutembeleana n.k
Mimi nipo Singida, kwa aliye tayari anipm

Ewaaaa......kama upo Singida wewe ndio nilikuwa nakutaka.......nina mbaya wangu yupo maeneo hayo namsaka.......nadhani nitakutembelea siku za karibuni.......ngoja nikuPM........
 
Ha ha ha ha ha, mbaya wako ndio mimi ushanipata wala hamna shida....Uc hangaike kunigafuta ushanipata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom