pepim JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 335 Reaction score 52 Oct 12, 2014 #1 Ninatafuta marafiki humu jf wa jinsia zote kwaajili ya kubadilishana nao mawazo, kuchati, kutembeleana n.k Mimi nipo Singida, kwa aliye tayari anipm
Ninatafuta marafiki humu jf wa jinsia zote kwaajili ya kubadilishana nao mawazo, kuchati, kutembeleana n.k Mimi nipo Singida, kwa aliye tayari anipm
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,041 Reaction score 6,311 Oct 12, 2014 #2 Singida nasikia kuna "watoto" wa kike wazuri sana. Hakuna yeyote unayefahamiana naye ambaye yuko hapa Dar? Urafiki wetu uanzie hapo kwanza.
Singida nasikia kuna "watoto" wa kike wazuri sana. Hakuna yeyote unayefahamiana naye ambaye yuko hapa Dar? Urafiki wetu uanzie hapo kwanza.