Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
[emoji23]Physical appearance
[emoji23]Physical appearance
Naweza kuona sample ?[emoji23]
Subiri inakujaNaweza kuona sample ?
Una hela ??
Kama hela zipo nitafte
Huenda anabiasharaHela za nini tena mkuu wakati huyo ni mwanaume mwenzio
Huenda anabiashara
Wapi mkuu ?Subiri inakuja
Si hapa Au?!Wapi mkuu ?
Nikajua kule kwenye Private MessageSi hapa Au?!
Ahaaa huko ngoja kama zitafikaNikajua kule kwenye Private Message
Nasubiri kwa hamu zoteAhaaa huko ngoja kama zitafika
[emoji4][emoji4]Nasubiri kwa hamu zote
Aiseeee[emoji848]Ila anaakili sana, titi dodo, chura ya wastani....
Mimi nilimtongoza bhana bhana akakubali, kesho yake katika kupiga story za hapa na pale kaanza kulia nikamuuliza shida nn hakunijibu nikamtoa hela nikatembea coz nilihisi uwepo wangu unamfanya alie, sikuonekana siku mbili, baadae nikamtafuta story tena zikaanza akaanza kulia ndio nikambana aisee akafunguka akasema waliitwa mkutano wa kijiji yeye na mama ake akaambiwa aondoke yeye au aondoke yeye na mama ake au achague kifo, akasema mimi naondoka namuacha mama kwasababu bado anawatoto wadogo (wadogo wa huyu binti/mshikaji) basi bhana alivyomaliza kaongeza volume ya kulia hapo tupo stend ikabidi nianze kumnyamazisha. Hata ukimwambia twende sehemu tukae hataki anajua atafanyiwa kitu kibaya.
WAZAZI WAKE HAWAJUI YUKO WAPI NA YEYE HANA SIMU NA AMEAMBIWA ASIONEKANE HUKO KIJIJINI KWAO.
Waafrika tuna akili za ajabu sana. Kosa lake ni lipi hasa, kuzaliwa alivyo au ??....Ila anaakili sana, titi dodo, chura ya wastani....
Mimi nilimtongoza bhana bhana akakubali, kesho yake katika kupiga story za hapa na pale kaanza kulia nikamuuliza shida nn hakunijibu nikamtoa hela nikatembea coz nilihisi uwepo wangu unamfanya alie, sikuonekana siku mbili, baadae nikamtafuta story tena zikaanza akaanza kulia ndio nikambana aisee akafunguka akasema waliitwa mkutano wa kijiji yeye na mama ake akaambiwa aondoke yeye au aondoke yeye na mama ake au achague kifo, akasema mimi naondoka namuacha mama kwasababu bado anawatoto wadogo (wadogo wa huyu binti/mshikaji) basi bhana alivyomaliza kaongeza volume ya kulia hapo tupo stend ikabidi nianze kumnyamazisha. Hata ukimwambia twende sehemu tukae hataki anajua atafanyiwa kitu kibaya.
WAZAZI WAKE HAWAJUI YUKO WAPI NA YEYE HANA SIMU NA AMEAMBIWA ASIONEKANE HUKO KIJIJINI KWAO.
Me ningependa sana sema ndio Niko koromijeHellow pple nahitaji rafiki nipo dsm
Napenda marafiki sana nipo bored and alone kinoma
Awe dar
Note: Refer my threads ili uelewe ni vyema kumjua mtu kabla hajawa rafiki yako ili muweze kumaintain urafiki na undugu wenu
Pm me
Vigezo na masharti kuzingatia
Sent using Jamii Forums mobile app