Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,856
- 9,721
Nahisi, ila yeye anasema hajielewi na hajawahi..Unamaanisha kua ni shemale yani yakiume ndo inafanya kazi?!
Nahisi, ila yeye anasema hajielewi na hajawahi..Unamaanisha kua ni shemale yani yakiume ndo inafanya kazi?!
Ss walijuaje hulo kijiji na kama hajawahi inabidi akaokote dada poa ajaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiddingNahisi, ila yeye anasema hajielewi na hajawahi..
Heehe ww sema haujapenda ep zilivyokua8 tuMimi napenda walivokuwa wanaongea spanish...SO3 haikunivutia kama 1 & 2
Yeye anaona aibu ndio maana hajawahi but anadae ana mashine gun kabisa so maybe wanakijiji waliona tangu yuko mdogo...Ss walijuaje hulo kijiji na kama hajawahi inabidi akaokote dada poa ajaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kidding
Zile za seoson 3 sio sauti zao halisi[emoji4][emoji4] Mimi nilikuwa nampenda nairobi na berlin wanavoongeaHeehe ww sema haujapenda ep zilivyokua8 tu
Totea suggestion netflix ss au unaonaje[emoji23]Zile za seoson 3 sio sauti zao halisi[emoji4][emoji4] Mimi nilikuwa nampenda nairobi na berlin wanavoongea
Kuna version ya spanish pia.. Lakini haipo netflixTotea suggestion netflix ss au unaonaje[emoji23]
Season 1&2 ni spnaish mm 3 nilipata englishKuna version ya spanish pia.. Lakini haipo netflix
Una hela ??Hellow pple nahitaji rafiki nipo dsm
Napenda marafiki sana nipo bored and alone kinoma
Awe dar
Note: Refer my threads ili uelewe ni vyema kumjua mtu kabla hajawa rafiki yako ili muweze kumaintain urafiki na undugu wenu
Pm me
Vigezo na masharti kuzingatia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo ilivyoSeason 1&2 ni spnaish mm 3 nilipata english
[emoji23]Basi4 wataongea chinese[emoji23]
Next time ataelekea KigomaVp moshi ulifanikiwaga kupata?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahNext time ataelekea Kigoma
Whaaaat!Ila anaakili sana, titi dodo, chura ya wastani....
Mimi nilimtongoza bhana bhana akakubali, kesho yake katika kupiga story za hapa na pale kaanza kulia nikamuuliza shida nn hakunijibu nikamtoa hela nikatembea coz nilihisi uwepo wangu unamfanya alie, sikuonekana siku mbili, baadae nikamtafuta story tena zikaanza akaanza kulia ndio nikambana aisee akafunguka akasema waliitwa mkutano wa kijiji yeye na mama ake akaambiwa aondoke yeye au aondoke yeye na mama ake au achague kifo, akasema mimi naondoka namuacha mama kwasababu bado anawatoto wadogo (wadogo wa huyu binti/mshikaji) basi bhana alivyomaliza kaongeza volume ya kulia hapo tupo stend ikabidi nianze kumnyamazisha. Hata ukimwambia twende sehemu tukae hataki anajua atafanyiwa kitu kibaya.
WAZAZI WAKE HAWAJUI YUKO WAPI NA YEYE HANA SIMU NA AMEAMBIWA ASIONEKANE HUKO KIJIJINI KWAO.
Au hata akiwa kama wewe napo sio mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
Kama mm vipi ssAu hata akiwa kama wewe napo sio mbaya
Physical appearanceKama mm vipi ss