Natafuta marafiki Dar jamani

Natafuta marafiki Dar jamani

Visacard

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2017
Posts
233
Reaction score
218
Hellow pple nahitaji rafiki nipo dsm
Napenda marafiki sana nipo bored and alone kinoma

Awe dar

Note: Refer my threads ili uelewe ni vyema kumjua mtu kabla hajawa rafiki yako ili muweze kumaintain urafiki na undugu wenu
Pm me

Vigezo na masharti kuzingatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama hata rafiki unatuma maombi,pesa utazipata kweli?

#si bure itakua
hata mim nilitaka kuuliza Hilo. Kwan hata kwenye mihangaiko yake ya kila siku anakutana na majin?? Mbona huko ndo sehem marafik hutokea
 
Sasa yupo mwingine ni mdada kabisa kimuonekano ila ni dume, alifukuzwa na wanakijiji kijijini kwao yupo yupo tu kitaa analala stend.. Anamuonekano mzuri sana wa kidada yaani ni beautiful.
Unamaanisha kua ni shemale yani yakiume ndo inafanya kazi?!
 
hata mim nilitaka kuuliza Hilo. Kwan hata kwenye mihangaiko yake ya kila siku anakutana na majin?? Mbona huko ndo sehem marafik hutokea
Sema msimlaumu jaman wengine ni introverts si kila siku utakutana na mtu mkaendana na kuanzisha convo kuna watu wanakaa hata miezi8 hajawahi pata rafiki
 
Ila anaakili sana, titi dodo, chura ya wastani....
Mimi nilimtongoza bhana bhana akakubali, kesho yake katika kupiga story za hapa na pale kaanza kulia nikamuuliza shida nn hakunijibu nikamtoa hela nikatembea coz nilihisi uwepo wangu unamfanya alie, sikuonekana siku mbili, baadae nikamtafuta story tena zikaanza akaanza kulia ndio nikambana aisee akafunguka akasema waliitwa mkutano wa kijiji yeye na mama ake akaambiwa aondoke yeye au aondoke yeye na mama ake au achague kifo, akasema mimi naondoka namuacha mama kwasababu bado anawatoto wadogo (wadogo wa huyu binti/mshikaji) basi bhana alivyomaliza kaongeza volume ya kulia hapo tupo stend ikabidi nianze kumnyamazisha. Hata ukimwambia twende sehemu tukae hataki anajua atafanyiwa kitu kibaya.
WAZAZI WAKE HAWAJUI YUKO WAPI NA YEYE HANA SIMU NA AMEAMBIWA ASIONEKANE HUKO KIJIJINI KWAO.
 
Back
Top Bottom