Habari zenu.
Nina wiki ya tatu sasa kwenye huu mji wa watu, nimehamishiwa hapa kikazi mgeni na sina marafiki. Kwangu mimi marafiki wanathamani ya pekee katika maisha yangu.Nawakaribisha wote, wa kike na wakiume, mimi ni msichana mchangamfu na napenda marafiki.Tafadhali ni PM kama unania.

Karibu sana....mzee wa Rula, Pakajimmy, Igwe, Sahara voice, Loner, preta, voice of reason, baba ubaya tumekupokea...weekend inayokuja tegemea mtoko kutoka kwa those frez!
hao waliotajwa pia ni wachache.....tupo lundo la kutosha....achague yoyote kati ya hao amPM....atampa maelezo yote.....karibu sana
Duuuuh mkuu umeadimika vibaya mno, poa mgeni keshafika nadhani tutamfatuta ili alijue jiji.Karibu sana....mzee wa Rula, Pakajimmy, Igwe, Sahara voice, Loner, preta, voice of reason, baba ubaya tumekupokea...weekend inayokuja tegemea mtoko kutoka kwa those frez!
Arusha one vibaya hivyo kumbe siku zote upo hapa hatujuani jamani! Mmmmmh haya na wewe karibu umoja w JF Arusha huko ndiko mambo iliko.Hao ni chamtoto mwanangu! Tupo fluu na tuna upendo utafikiri tumezaliwa wote mama mmoja baba mmoja. Kama vipi karibu (PM) UKO HURU BEST.
Yaani nashindwa kuamini jinsi wanaJF wa Arusha tulivyo wengi lakini hatujuani. Tutafutane jamani isiishie tu jukwaani, twende mbali zaidi keyboard.me nipo mianzini karibu sana a cty kwani we upo maeneo gani
Itabidi nikuzukie siku moja mitaa yenu hiyo mkuu. Niandalie mapochopocho ya kila aina maana kwa kula mimi hunitoi.Aaai rafiki karibu me nipo hapa chuga pande flani za ungalimited