Natafuta mama mtu mzima tuwe wapenzi

Natafuta mama mtu mzima tuwe wapenzi

Kwel huna sera ww hata haya uoni, kwan ukoo wenu hamna majimama wakulee mana umeishwa ndogo wangu
 
Sio kila mario ni baroteli uwezo unajieleza kumbuka sio kila shalobaro atafia muheza vaa pendeza ingia kati cheza kumbuka mkufu hausimami hata kama ukilishwa pweza.
 
Siku hizi tunapenda wababu wenzetu. Ukijenga ukuta yeye anapaua.
Tafuta watoto wenzio bwana. Mtoto wa mwenzio ni wako. Ndo sera ya taifa.
 
Siku hizi tunapenda wababu wenzetu. Ukijenga ukuta yeye anapaua.
Tafuta watoto wenzio bwana. Mtoto wa mwenzio ni wako. Ndo sera ya taifa.

Haya ndo yanaitwa makavu laivu, eti?
 
we utakuwa mwenda wazimu wewe.hata iyo dudu yako haija komaa.fikiria xul wewe.
 
Subiri matokeo yenu yarudiwe afu ntaku hook up na
Mijimama ya mjini
 
huyu kaangalia picha ya Ngono sasa anataka kujarubu. acha, ni laana.
 
mi ni kijana wa miaka 22 kama kina any mature lady interested in young boys...am here just pm me tuongee

Nani kakuambia you are still young? Ukishaona unapata hisia kwa wamama watu wazima, you are no longer a boy.

By the way, mama yako ni marehemu? Naona mambo ya FB sasa yamejazana JF
 
weeee mtoto una mambo!!! waheshimu mama zako utapata laana
 
Back
Top Bottom