Natafuta maduka yanayouza sensor aina zote Dar es salaam

Natafuta maduka yanayouza sensor aina zote Dar es salaam

zugimlole

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,085
Reaction score
1,362
Waungwana wanajamii naomba msaada kwa yeyote anaejua duka linalouza sensor aina zote jijini Dar es salaam anijuze kwani nazihitaji sana..

Asanteni kwa ushirikiano
 
Waungwana wanajamii naomba msaada kwa yeyote anaejua duka linalouza sensor aina zote jijini dsm anijuze kwani nazihitaji sana..

Asanteni kwa ushirikiano

Sensor za kitu gani mkuu?
 
Waungwana wanajamii naomba msaada kwa yeyote anaejua duka linalouza sensor aina zote jijini Dar es salaam anijuze kwani nazihitaji sana..

Asanteni kwa ushirikiano
we we aupo makini,sema type ya sensor unazotaka,yeyote ndo mini mkuu
 
Back
Top Bottom