Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,944
- 1,431
uwezi amini mzee,ata mi mwenyewe siamini.ila ndio matokeo inanibidi nikubaliane nayo nitafute njia zingine kama hivi.
Sawa sawa mkuu cha muhimu wewe jiweke sawa tu muda wote na usiwaonee aibu maana ukiona aibu hutompata hata mmoja so wewe jitose tu mkuu..na ukisema usubirie wakufate hiyo sahau hamna kabisa hiyo kitu maana ni ngumu sana....