Natafuta mademu wanaotongoza wanaume!!

uwezi amini mzee,ata mi mwenyewe siamini.ila ndio matokeo inanibidi nikubaliane nayo nitafute njia zingine kama hivi.

Sawa sawa mkuu cha muhimu wewe jiweke sawa tu muda wote na usiwaonee aibu maana ukiona aibu hutompata hata mmoja so wewe jitose tu mkuu..na ukisema usubirie wakufate hiyo sahau hamna kabisa hiyo kitu maana ni ngumu sana....
 
Kwanza jiamini pale unapo mtokea demu,hata akikukataa vuta subira mwambie mie nataka uwe mke wng,nadhani kwa umri ulio nao ndugu yangu ni vizuri ukatafuta mke na sio demu wa kuchezea.Muombe Mungu 2 atakupa mke mzuri na atakaye kufaa maishani.
 
halo kwa wadau wote wa jf.mimi ni kijana wa miaka 30,nashindwa kumtongoza mwanamke kwani nnapo muona demu mzuri hua nashindwa kuongea kabisa!sasa naomba msaada wenu:niwapate wapi mademu ambao hawasubiri kutongozwa ila wao ndio wanaanzisha mchezo??natanguliza shukrani zangu.

jiamini,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
sijalala.upo mpenzi...

nimeona sehemu wataka kumchua mtu tigo,nimeshtuka...
utanifanya nikiwa na wewe niwe on guard 24/7 lol
Tulia mtoto wa kiume,jiachie nikupe raha za dunia utakuwa kila saa,kila nukta unamkumbuka shosti mtoto wa kitanga na raha zake:lol:
 
Tulia mtoto wa kiume,jiachie nikupe raha za dunia utakuwa kila saa,kila nukta unamkumbuka shosti mtoto wa kitanga na raha zake:lol:

raha zote unipe,kasoro hiyo ya kuchuliwa huko lol..
mim mnyamwezi bana,mengine kwetu ni taboo lol
 
Mh! Ndugu zangu huwezi kuamini kuna watu fulani sina uhakika kama ni memba wa JF au vipi nimewakuta wakiorodhesha maeneo mbalimbali ambayo makahaba hupatikana kupitia majibu ya hii post. Bila shaka mnavyotaja hayo maeneo kuna watu wanaona ni msaada kwao. Hii ni hatari!
 
Nimesoma thread yako na majibu yako nimegundua kuwa wewe ni under -18.

Subiria ukue utayakuta hayo mambo ya mapenzi.
 
kuna eneo jipya siku hizi pale buguruni mabibie wanavyumba vyao huyo atakutongoza kwa vitendo tu....................
 
Kwanza jiamini pale unapo mtokea demu,hata akikukataa vuta subira mwambie mie nataka uwe mke wng,nadhani kwa umri ulio nao ndugu yangu ni vizuri ukatafuta mke na sio demu wa kuchezea.Muombe Mungu 2 atakupa mke mzuri na atakaye kufaa maishani.

poa mzee nimekusoma.ila duh mzee pale anapokataa ndo sooo!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom