Hahaha,We Rene acha bangiUlikopata hii picha ni sehemu nzuri zaidi ya kuanzia!
Nenda business millennium park shekilango. Ingia ndani uliza kampuni moja ya kichina inaitwa Nile machinery kama sijakosea. Bei kama sijasahau ni 1.8m
Hahaha,We Rene acha bangi
Aisee Mkuu vipo Kariakoo kibao mkuu,Hahahahaa, saum kali mkuu wangu! Bi mkubwa wangu anatafuta viplastiki vya kutengezea "ashklim" aka ice pop hebu nisaidie ntavipata wapi Mkuu wangu?
Ahsante mara70 mkuu, maeneo hayo nlikuwa sjapita. ThanksAisee Mkuu vipo Kariakoo kibao mkuu,
Nakumbuka niliwahi kuviona kama upande wa Mabuchani pale Kariakoo Sokoni unaelekea mbele kama unaenda Baridi so katikati ndio unayaona maduka yenye vikopo hivyo.
Nimekwenda kwenye ofisi yao lakini sikufanikiwa kipata hio machine.
Ahsante mara70 mkuu, maeneo hayo nlikuwa sjapita. Thanks
Jaribu SIDO makau makuu,wale ndio wanamashine za aina nyingiii.Maana ni kitovu cha wajasiriamali.
Na ukikosa SIDO basi watakuambia wapi zipo,maana wao ni wadau wanajua chochoro zote za mashine za aina zoote