natafuta LAPTOP..

haina tatzo lolote?nakupa 380

Siuzii matatizo mkuu na laptop yangu haina tatizo lolote, kama huna hio bei sio mbaya mm nina laptop mbili, sasa nataka nibaki na moja tu. Wee endelea kutafuta tu ya bajeti yako ila kwa hio yngu ni fixed price.
Ukipata ya kuongeza namba yngu hio hapo juu, utanipigia tufanye biashara. Usiku mwema.
 
Iwe na sifa zifuatazo..

Ram isiwe chini ya 2gb.
Hard disk isiwe chini ya 320gb.
Iwe inakaa na chaji kwa japo saa 1..
iwe na DVD RW..

Bei iwe reasonable..

Kaka kama unataka laptop mzigoo huu Hapa
I5
320Gb
4ram
Probook 6550b
520000
Zimebaki 13pcs
Call 0779420000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom