natafuta LAPTOP..

msafwa93

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,605
2,000
Iwe na sifa zifuatazo..

Ram isiwe chini ya 2gb.
Hard disk isiwe chini ya 320gb.
Iwe inakaa na chaji kwa japo saa 1..
iwe na DVD RW..

Bei iwe reasonable..
 

Darius

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
1,956
1,500
HP. 6gb ram, 3ghz proccessor, @2core, hdd 500 Gb!!!,battery time survive 3-2.5 hours, window 8.1 already .....! bei (laki 7.5) reasonable .....!just pm if ur interested
 

msafwa93

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,605
2,000
wakuu mbna mnaweka vtu vya bei sana,si ngeenda dukan kama nna ela hyo
 

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,834
2,000
HP. 6gb ram, 3ghz proccessor, @2core, hdd 500 Gb!!!,battery time survive 3-2.5 hours, window 8.1 already .....! bei (laki 7.5) reasonable .....!just pm if ur interested
Hyo bei utampa na receipt ya EFD?
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,039
2,000
Unatafuta wapi sasa mbona hueleweki.....Komputer zipo jf au madukani. We uko waki kwanza bana labda nisikuhukumu sana...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom