Natafuta Laptop, bei isizidi 600,000

Matangwa

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
746
1,365
Natafuta Laptop Bei isizidi 600,000

Iwe Toshiba, dell, hp au mackbook.

Iwe na angalau sifa zifuatazo
Ram 8GB

STORAGE - SSD angalau 200 gb
Generation 8+
Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA
Ukubwa wa Kioo uwe 20+ kubwa na kuendelea

Chaji angalau masaa 3
ISIWE YA WIZI
isiwe na kipengele chochote
Nipigie 0752147883
 
Njoo nikupe lenovo 260 touch screen core i5 kwa 550k bila usafiri, ama lenovo touch screen sio360 ram 4 hdd 250 ssd njoo pm nakutumia popote kwa uaminifu
 
Anayehitaji ASUS ila imechora mistari katikati sijui shida ni nini🙆‍♂️ aje na bei yake storage ni 500GB
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom