natafuta LAPTOP..

natafuta LAPTOP..

Iwe na sifa zifuatazo..

Ram isiwe chini ya 2gb.
Hard disk isiwe chini ya 320gb.
Iwe inakaa na chaji kwa japo saa 1..
iwe na DVD RW..

Bei iwe reasonable..
ACER,
Hard Disk 250GB,
RAM 2GB,
Processor PENTIUM,
WEBCAM,
DVD Writter,
Tshs 400,000/= (Fixed)
0712 949 519
 
Mbona mnatoa specs za juu hivi lakini bei ni za kutupa? Ni genuine kweli hizi ptoduct zenu?
 
ACER,
Hard Disk 250GB,
RAM 2GB,
Processor PENTIUM,
WEBCAM,
DVD Writter,
Tshs 400,000/= (Fixed)
0712 949 519

Mkuu Shark hyo ni bei ya dukan bhana,m nlinunu acer iliyo na sifa kama hzo ila HDD ilikua 500gb,kwa 450000..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Shark hyo ni bei ya dukan bhana,m nlinunu acer iliyo na sifa kama hzo ila HDD ilikua 500gb,kwa 450000..

Basi Mkuu si uongezee hiyo 50,000/= ukaichukue hiyo tena? Maana kwa additional 50,000/= unapata kitu kipya bora ufanye hivyo Mkuu!!
 
Iwe na sifa zifuatazo..

Ram isiwe chini ya 2gb.
Hard disk isiwe chini ya 320gb.
Iwe inakaa na chaji kwa japo saa 1..
iwe na DVD RW..

Bei iwe reasonable..


Ninayo Toshiba satellite L300, with
disk 500gb,
memory 3gb,
display 15inch
DVD writer

Iko katika hali nzuri, bei 300,000
Iko mwanza. Call me on 0767659145, email alphonce@alphonce.net
 
Iwe na sifa zifuatazo..

Ram isiwe chini ya 2gb.
Hard disk isiwe chini ya 320gb.
Iwe inakaa na chaji kwa japo saa 1..
iwe na DVD RW..

Bei iwe reasonable..

Mkuu wewe umejiandaa na kiasi gani cha madafu?
unatakiwa kusema mimi nina sh milion 3 natafuta laptop ndo watu waanza na zao mwenye ya laki haya utaletewa mtiririko kulingana na dau uliloweka.
 
mie nina toshiba satellite l500 hdd150..chaja masaa matatu net...RAM2GB..mpya bado na nakupa na bego lake kwa 300k
piga 0787 408180
 
Iwe na sifa zifuatazo..

Ram isiwe chini ya 2gb.
Hard disk isiwe chini ya 320gb.
Iwe inakaa na chaji kwa japo saa 1..
iwe na DVD RW..

Bei iwe reasonable..

Nina Samsung
HD 320
RAM 2GB
Windows 8
DVD RW
Bei 430
Kama utapenda nipigie
Nataka nipunguze moja
0716398757
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom