Mtoto wa tajiri
JF-Expert Member
- Jun 24, 2019
- 232
- 430
Wahabeshi wapite hapa
Mimi nimesoma Biblia na Quran huu mwaka mmoja uliopita, huwezi kuamini nimelipata hilo jicho la kuona nyuzi 360, kuna mambo mengine nimeoneshwa mpaka kwenye ndoto na nikija kwenye uhalisia nayaona ni kweli kabisa. Mganga Mungu tu mkuu achana na hao matapeli kwenye ulimwengu wa shetani, atakuambia ya ukweli matatu na matatu ya uongo, mwisho wa siku inakuwa uharibifu kwako kwasababu kazi ya shetani ni kumuharibu mwanadamu na kumpoteza.KICHWA CHA HABARI:
Natafuta Mtaalamu Mbobezi (The Grandmaster) – Upeo wa Macho, Kusafisha Nyota & Ulinzi wa Chuma | Morogoro & Jirani
Wadau wa jukwaa hili, salamu.
Nimeamua kuandika hapa baada ya kuona ulimwengu unabadilika na maadui wanazidi kuongezeka kila kukicha. Sitafuti mganga wa kupiga ramli za kubahatisha, natafuta Mbobezi aliyepikwa akapikika, anayejua siri za rohoni na mamlaka ya asili.
Mahitaji Yangu ya Msingi:
Upeo wa 360° (The All-Seeing Eye): Nahitaji uwezo wa kipekee nikitembea mtaani au nikiwa kwenye harakati zangu, nione mitego iliyozikwa (idara ya uchunguzi), nione sura halisi za watu wanaonitabasamu huku mioyoni mwao wana visu, na nione kila aina ya kiumbe au 'mzigo' unaotumwa kunifuata kabla haujafika.
Kinga ya "Reverse Gear" (Active Defense): Mwili wangu, familia yangu, na makazi yangu yawe marufuku kwa uchawi na husuda. Nataka kinga ambayo adui akijaribu kurusha mshale wa giza, unamgeukia yeye na ukoo wake hapo hapo bila kupoa. Iwe ni kinga ya 'chuma' isiyovulika.
Kusafisha Nyota & Mvuto wa Mamlaka: Nataka kung'arishwa nyota yangu iwe na mvuto wa ajabu kibiashara na kijamii. Nataka nikisimama mbele ya watu nionekane na nithaminiwe, na nikiingia katikati ya kilinge cha adui, wabaki gizani wasione kitu.
Vigezo Vyangu vya Chuma:
Eneo: Lazima uwe ndani ya mkoa wa Morogoro (Mgeta, Matombo, Kilosa, Ifakara,... ) au mikoa inayopakana.
Physical Meeting: Siwezi kufanya kazi na sauti ya kwenye simu wala 'vilinge vya WhatsApp'. Lazima nifike kilingeni kwako, nione mazingira na nishuhudie 'vitu' vikitokea live mbele ya macho yangu.
Malipo na Uhakika: Niko tayari kutoa Gharama Yoyote inayostahili heshima ya kazi yako. Hata hivyo, malipo ya ufundi (fadhila kuu) ni BAADA YA MATOKEO. Gharama za vifaa, kafara, na manunuzi ya awali tutamalizana nikiwa kilingeni kwako nikishajiridhisha na weledi wako.
Kama unajijua wewe ni Konki, unao uwezo wa kufungua ulimwengu wa pili, na huna hofu na kazi yako, njoo PM (Private Message) tujadiliane namna ya kuonana.
Wapiga porojo, waganga wa mitandaoni, na matapeli wa vocha, kaeni mbali na uzi huu. Natafuta Fundi, siyo msimulia hadithi.
Ila huwa mnamkuza shetani bila kujua.Mimi nimesoma Biblia na Quran huu mwaka mmoja uliopita, huwezi kuamini nimelipata hilo jicho la kuona nyuzi 360, kuna mambo mengine nimeoneshwa mpaka kwenye ndoto na nikija kwenye uhalisia nayaona ni kweli kabisa. Mganga Mungu tu mkuu achana na hao matapeli kwenye ulimwengu wa shetani, atakuambia ya ukweli matatu na matatu ya uongo, mwisho wa siku inakuwa uharibifu kwako kwasababu kazi ya shetani ni kumuharibu mwanadamu na kumpoteza.
mkuu upo sawa hasa hapo mwishoni mwa hiyo yakobo..NA KUJILINDA MWENYEWE NA ULIMWENGU. me nakutakia kheri na ukifanikiwa si vibaya kutuludia kutupa ushuhuda nasi tujisaidie mana vgagula wanatutesa hakuna mfano!Yakobo 1:27 BHN
Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.
Kweli kabisa!mkuu upo sawa hasa hapo mwishoni mwa hiyo yakobo..NA KUJILINDA MWENYEWE NA ULIMWENGU. me nakutakia kheri na ukifanikiwa si vibaya kutuludia kutupa ushuhuda nasi tujisaidie mana vgagula wanatutesa hakuna mfano!
Mmh mmhSijawahi kutoa hii siri, ila kwa hii mada imeniuma sana leo inabidi nitoboe hii siri
Namshukuru sana Seran kwa kuweza kunisaidia matatizo yangu, na mpaka sasa kila napokwenda, kila nalofanya linawapendeza watu wote.
Hakika huyu mwanamama n Kiboko wa kusafisha nyota za watu pamoja na magonjwa ya uzazi.
Ni mwaka wa saba sasa mke wangu hakupata mimba, Ila baada ya kuonana na mwanamama Seran ndani ya wiki tuu tayari mke wangu alishika mimba [emoji91]
kwanini?Ila huwa mnamkuza shetani bila kujua.
Mnamfanya ionekane shetani kama ana nguvu sawa na Mungu isipokuwa tu yeye shetani nguvu zake mbaya, kila jambo baya mnalifanya kuwa ni nguvu ya shetani. Huyo shetani kwa imani ya waislamu huamini kuwa anafungiwa mwezi wa ramadhani lakini ukiangalia bado watu huwa wanafanya maovu kama kawaida.kwanini?
"Mganga mkuu ni Mungu",hapa sasa umenichanganya,mganga mkuu ni nani sasa kati ya Allah na Jehovah maana umesema biblia na Quran zimekupa jicho la kuona 360Mimi nimesoma Biblia na Quran huu mwaka mmoja uliopita, huwezi kuamini nimelipata hilo jicho la kuona nyuzi 360, kuna mambo mengine nimeoneshwa mpaka kwenye ndoto na nikija kwenye uhalisia nayaona ni kweli kabisa. Mganga Mungu tu mkuu achana na hao matapeli kwenye ulimwengu wa shetani, atakuambia ya ukweli matatu na matatu ya uongo, mwisho wa siku inakuwa uharibifu kwako kwasababu kazi ya shetani ni kumuharibu mwanadamu na kumpoteza.
Maana yake yani Mungu ndo mganga hao wengine waganga wanadamu hawafai"Mganga mkuu ni Mungu",hapa sasa umenichanganya,mganga mkuu ni nani sasa kati ya Allah na Jehovah maana umesema biblia na Quran zimekupa jicho la kuona 360
Sidhani kama ni sahihi kumuita Mungu kuwa ni mganga.Maana yake yani Mungu ndo mganga hao wengine waganga wanadamu hawafai