Unataka sehemu ya kijani au kwenye ukame?Habari wana jamii forum,
Mimi ni mgeni jijini arusha, natafuta kiwanja maenezo mazuri yaliyotulia ambacho kitafaa kwa apartment au min hotel…naomba recommendation zenu sehemu gani ni nzuri kwa Jiji la arusha! Natanguliza shukurani!
Una uhakika?
Maeneo mengi tu mkuu, tena unapata kwa mwenyeji...muuzaji na sio dalali.Sehemu ya kijanii kaka
Kwa apartment Moshono patakufaa zaidi chief kwa Hotel nakushauri check Sakina, au Ngaramtoni kuna maeneo mazuri kibiashara hata Matevez cc Unique Flower kazi hii hapaHabari wana jamii forum,
Mimi ni mgeni jijini arusha, natafuta kiwanja maenezo mazuri yaliyotulia ambacho kitafaa kwa apartment au min hotel…naomba recommendation zenu sehemu gani ni nzuri kwa Jiji la arusha! Natanguliza shukurani!
😂😂😂😂😂 good evening!!
Kwa apartment Moshono patakufaa zaidi chief kwa Hotel nakushauri check Sakina, au Ngaramtoni kuna maeneo mazuri kibiashara hata Matevez cc Unique Flower kazi hii hapa
We dalali mpe kiwanja ndugu yetu😂😂😂😂😂 good evening!!
🤣🤣 mnanioneaWe dalali mpe kiwanja ndugu yetu
Muunganishe na wenyeji wa mji we mtu mkubwa bhana🤣🤣 mnanionea
Kuwa serious na maisha ya watu .maisha ya Kiki punguza utakuwa na 22 hadi 26.ulikuwa funny mwanzo ila unapoteaLete milioni 70 nikupe bangaroo usariver kaeibu kabisa na mto
Akaangalie East Africa road, kikwe ya juu…Muunganishe na wenyeji wa mji we mtu mkubwa bhana