Mtu Poa 2013
Member
- Mar 26, 2013
- 86
- 45
Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo Kibaha yote isipokuwa Mlandizi na Bagamoyo. Ni pm
Kibaha kubwa.Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo kibaha yote isipokuwa mlandizi na bagamoyo. Ni pm
Bei?Kipo ila ukubwa 20 kwa 20
Njoo huku mzenga nakupa 70m x35m kwa 1mHabari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo kibaha yote isipokuwa mlandizi na bagamoyo. Ni pm
Mzenga ni wapiii na hebu nicheck pmNjoo huku mzenga nakupa 70m x35m kwa 1m
Milioni mojabei?
Ukifika Mlandizi kuna barabara ya kwenda Maneromango siyo mwendo mrefu kutoka Mlandizi. NB: Mzenga ipo km 29 kutoka Kibaha. Sehemu haina umeme wala maji.Mzenga ni wapiii na hebu nicheck pm
Sehemu gani?Milioni moja
Kwa Mathiassehem gan
Mkuu nina eneo hapo mzenga pia hicho kiwanja chako kipo sehemu gani exactly na unauza kama shamba au kiwanja?!Ukifika mlandizi kuna barabara ya kwenda maneromango siyo mwendo mrefu kutoka mlandizi. NB: mzenga ipo km 29 kutoka kibaha. Sehemu haina umeme wala maji.
Vipi ulifanikiwa kupata mkuu na bei zinaendaje coz nahitaji kiwanja pia kwa upande huo ila naona madalali wanapandisha sana bei ili kupata faida kubwa!!Usikatishe wenzako tamaa. Ndio tatizo la wabongo. Mi nadgani hata kwa interior huko kwa sh 1mnaweza pata
Huyo jamaa hapo juu Arturo Mateo kaniambia anavyo sh 1m mita 20 kwa mita 20 Msangani Kibaha sasa bado sijaenda kuangalia. M pm akupe namba yakevp ulifanikiwa kupata mkuu na bei zinaendaje coz nahitaji kiwanja pia kwa upande huo ila naona madalali wanapandisha sana bei ili kupata faida kubwa!!