Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
weka bei
Bado sijapata kiwanja
mbona hujanitafuta mimi nikuuzieBado sijapata kiwanja
changu ni 50×40 futi na vipo viwili vipo vikinduBado sijapata kiwanja
Mkuu asante, ila kule ni mbali sana na shughuli zangu za uvuja jasho.changu ni 50×40 futi na vipo viwili vipo vikindu
Je nguzo za umeme ziko umbali gani kutokea hapo kwenye kiwanja?changu ni 50×40 futi na vipo viwili vipo vikindu
inbox ur NumberWanabodi,
Yeyote mwenye kiwanja Dar es Salaam anayetaka kuuza kwa bei hiyo tajwa, milioni 3, tafadhali ajitokeze tufanye biashara. Sifa ya kiwanja kiwe kinafikika kwa gari na huduma za jamii ziwe zapatikana.
Mkuu wingman7 weka details za kiwanja hapa jamvini kwanza kabla ya kutoa namba inbox.inbox ur Number
nguzo za umeme hazipo mbal mkuu na maji pia yapo karibu kabsaJe nguzo za umeme ziko umbali gani kutokea hapo kwenye kiwanja?
Mkuu asante, ila kule ni mbali sana na shughuli zangu
si ulisema unaishi mbagala? hadi hapo si mbal sana
Mkuu Wayo Kabla ya kutoa namba naomba maelezo ya kiwanja hicho hapa jamvini