Natafuta kiwanja Dar es Salaam, offer yangu milioni 3

Wanabodi,

Yeyote mwenye kiwanja Dar es Salaam anayetaka kuuza kwa bei hiyo tajwa, milioni 3, tafadhali ajitokeze tufanye biashara. Sifa ya kiwanja kiwe kinafikika kwa gari na huduma za jamii ziwe zapatikana.

Updates: 24 August, 2018

Offer imeongezeka na kufikia 4,000,000/= njoo tubadilishane na kiwanja
Kuna Kiwanja Kipo Goba inayopakana na Salasala. Kina 305 Sq, Kiwanja Kizuri. Nicheki 0675107182

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Yeyote mwenye kiwanja Dar es Salaam anayetaka kuuza kwa bei hiyo tajwa, milioni 3, tafadhali ajitokeze tufanye biashara. Sifa ya kiwanja kiwe kinafikika kwa gari na huduma za jamii ziwe zapatikana.

Updates: 24 August, 2018
Offer imeongezeka na kufikia 4,000,000/= njoo tubadilishane na kiwanja
ONGEZA M3 NIKUPE KIFURU, KARIBU NA KINYELEZI NJIA YA KWENDA MBEZI, MAJI,UMEME NA BARABARA MPAKA NDANI! PIA HAKIPO MBALI NA BARABARA KUU! ITOKAYO TABATA KWENDA MBEZI!
 
Back
Top Bottom