Cassablanca
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 324
- 590
Wanabodi,
Yeyote mwenye kiwanja Dar es Salaam anayetaka kuuza kwa bei hiyo tajwa, milioni 3, tafadhali ajitokeze tufanye biashara. Sifa ya kiwanja kiwe kinafikika kwa gari na huduma za jamii ziwe zapatikana.
Updates: 24 August, 2018
Offer imeongezeka na kufikia 4,000,000/= njoo tubadilishane na kiwanja