Natafuta kiwanja Dar es Salaam, offer yangu milioni 3

Wanabodi,

Yeyote mwenye kiwanja Dar es Salaam anayetaka kuuza kwa bei hiyo tajwa, milioni 3, tafadhali ajitokeze tufanye biashara. Sifa ya kiwanja kiwe kinafikika kwa gari na huduma za jamii ziwe zapatikana.

kiwanja kipo vikindu vipo viwili kwa eneo moja vikubwa gari inapita kabsa inafaa kwa makazi ya watu na kuna huduma zote za kijamii naomba tu nichek kwa hyo namba yangu nikupe maelezo zaid na kama ni mkaz wa mbagala basi patakufaa sana
 
Wanabodi,

Yeyote mwenye kiwanja Dar es Salaam anayetaka kuuza kwa bei hiyo tajwa, milioni 3, tafadhali ajitokeze tufanye biashara. Sifa ya kiwanja kiwe kinafikika kwa gari na huduma za jamii ziwe zapatikana.

Maeneo ya Pugu Kigogo fresh unapata kiwanja kwa mil 3
 
vipo km 25 toka darajani 2.5m piga 0762 068 839
 
Back
Top Bottom