Bei imechangamka mhhhhh sio mbaya ngoja tuweke oil zaidi hata oil chafu hatutupi tena tutarudia kulainisha tenaNyuma kidogo ya kituo cha kushukia daladala unakuwa kama unaelekea mbezi, bei ni milioni kumi na moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa bei hizo unazotaka labda msata Mkata huko sio mjini hapa tena kwa gari mbili upate kwa m3-4-5. Hakuna hakunagaaaaBei imechangamka mhhhhh sio mbaya ngoja tuweke oil zaidi hata oil chafu hatutupi tena tutarudia kulainisha tena
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio
Toa mawasiliano yako mkuuKuna ndugu yangu anatafuta kiwanja barabara ya Bagamoyo, kama unacho tuwasiliane.
kipo bunju na tegeta pia.Kuna ndugu yangu anatafuta kiwanja barabara ya Bagamoyo, kama unacho tuwasiliane.
inategemea na location kilipo, distance kutoka main road, facilities, na pia kama kina hati au hakina.Bei zake nimfikishie
Mkuu ni pmOffer imeongezeka na kuwa 4,000,000/= anayetaka pesa aje tubadilishane na kiwanja
Heeee mkuiOffer imeongezeka na kuwa 4,000,000/= anayetaka pesa aje tubadilishane na kiwanja
Njoo pmWanabodi,
Yeyote mwenye kiwanja Dar es Salaam anayetaka kuuza kwa bei hiyo tajwa, milioni 3, tafadhali ajitokeze tufanye biashara. Sifa ya kiwanja kiwe kinafikika kwa gari na huduma za jamii ziwe zapatikana.
Updates: 24 August, 2018
Offer imeongezeka na kufikia 4,000,000/= njoo tubadilishane na kiwanja
Bunju sehemu gani na ni bei gani?
Bado unakihitaji?
Mkuu njoo huku Madale 21x21 ni sh. M 6Asante kwa ufafanuzi, ni Kinyerezi wapi? Kituo cha kushukia daladala karibu na hapo? Bei sh.ngapi?