Njoo mpiji magoe huku Viki vingi
Hapana ila kuna makampuni yanauza na pia watu binafsi wapoUnauza?
Mpiji mbali sana kutoka Morogoro road (10km+).Hapana ila kuna makampuni yanauza na pia watu binafsi wapo
Nafkir hujaenda siku za hv karibuniMpiji mbali sana kutoka Morogoro road (10km+).
Kumepakana na pori la Mabwe (usalama mdogo).
Hapafai.
Mpiji mbali sana kutoka Morogoro road (10km+).
Kumepakana na pori la Mabwe (usalama mdogo).
Hapafai.
Kina ukubwa gani? Bei sh ngapi? Kina hati?Njoo PM kigamboni Geza Block 24
Mwambie huyo aache uogaKm 10+ ni mbali? Hili jiji ukiwa na usafiri hakuna mbali
Bado unaishi kwenye ofisi ya CCM kata?Mwenye connection aniambie jamani, 2022 ni mwaka wa kujenga sasa.