Natafuta kiwanja cha milioni 4 Dar, nitapata wapi?

Natafuta kiwanja cha milioni 4 Dar, nitapata wapi?

Njoo King’azi kwa banana zoro kipo na nguzo ya umeme na tayari kuna makazi ya watu unapata 20 kwa 18 maji yapo pia piga 0652788410
 
Hii ni tanga au zanzibar?
Inakera sana mtu anataja kitongoji cha ndani ndani huko as if sote tunakijua tayari. Hii tabia naanza kuiona hata katika taarifa ya habari. Unakuta mwandishi anasoma habari akimaliza, utasikia "Kutoka hapa kihonda ni mimi hemedi wa ITV". Kihondo ndio wapi sasa mtu unabakia unaduwaa.

Utaratibu unataka waseme "kutoka kata hii ya kihonda iliyopo wilayani misenyi hapa mkoani Rukwa,ni mimi Hemedi wa ITV".

Sasa huyu anatutajia kitongoji ambacho anakijua mwenyewe tu.
 
KIWANJA KINAUZWA KILUVYA KWA MASISTA,UMBALI NI DK 8 KWA BODA MPAKA SITE...
KIMEPIMWA,KIKO SEHEMU NZURI
UKUBWA 20x20
BEI MLN 3 MAONGEZI YAPO
0675065906.
 
Waone hao Jamaa Jamaa ni Uhakika
Photo_1686639335936.jpg
View attachment SP2.pdfView attachment SP6.pdf
 
Njoo nikupe kiwanja Kibaha Nyuma ya Hospitali ya Tumbi Kuna mji unaitwa Boko timiza kumechangamka sana kiwanja kipo maeneo mazuri Kumejengeka ukubwa ni 20×30 bei Mln 5
Maongez yapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom