Natafuta kiwanja cha milioni 4 Dar, nitapata wapi?

Natafuta kiwanja cha milioni 4 Dar, nitapata wapi?

Mwenye connection aniambie jamani, 2022 ni mwaka wa kujenga sasa.

Njoo king’azi nikupe vipande vipo viwili ukiunganisha pia ni sawa maana ni kiwanja kimoja lakini ukikifikia nusu ni sawa nakukatia, soweto park King’azi njia ya kinyerezi kwenda mbezi
 
Utapata vipo sema nje ya mji sana.

La sivyo ogopa matapeli ukiona nafuu sana saingine unaibiwa ukute ni cha mtu.
 
Kiwanja Kipo
Nichek kwa 0684848801
Location Bunju - Mabwe Pande
Sqm 400
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom