Kisemvule ni Pwani sio Dar es SalaamNjoo kisemvule ipo km 8 kutok mbagala nikuuzie uwanja wa 2.5ml upate na tofar 1200 za umeme 0683715151
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Unampeleka kwenye mabonde na miinuko akaongeze gharama za ujenzi.Kinyerezi, malamba mawili vipo vingi na vizuri.
njoo nikupe connection na dada mmoja anafanya hizo mambo za kuuza viwanja
0713096076
Kinyerezi, Malamba mawili vipo vingi na vizuri.
Njoo nikupe connection na dada mmoja anafanya hizo mambo za kuuza viwanja
0713096076
20 kwa 20 mazingira ni tambalale usafir kutoka barabara kuu ni 500 kwa bajaj na 1000 bodaView attachment 2059484
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app


hahahahaKelele zote za kumtetea Jambazi Sabaya kumbe unaishi Chumba cha Kupanga daah![]()
Ongeza kidogo nikupe gobaNjoo kivule (msongola)
Km 6 kutoka nyerere road
Ukubwa 20*20 (sqm 400)
Vipo flat (mchanga wa kujengea unapata hapo hapo)
Bei 4m
Kwa bedui, njia Panda kwenda goba
Nakutafuta. Kama hujauza naomba tuwasiliane.Goba kulangwa kipo...... Wewe tu, 20 kwa 20...
Nakutafuta kama hujauza tuwasilianeKwa bedui, njia Panda kwenda goba
Njoo nikupe
Ukubwa NI 20*20
Unataka mwenzio ajenge chumba cha ATMNnacho cha 2.1ml....mita nane kwa kumi na nne... location Majohe kwa Ngozoma, 0624406434