Natafuta kiwanda kinachotoa ngozi za karanga mbichi

spray

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
277
241
Habari wananzengo.

Natafuta kiwanda kinachotoa ngozi za karanga yaani karanga zinatolewa ngozi yake Ile ya juu na kubakia nyeupe/skinless.

Karanga ambazo hazijakaangwa yaani mbichi hizi za kawaida.

Thanks
 
Back
Top Bottom