akilinying
New Member
- Mar 14, 2016
- 1
- 0
Wana jamii forum wenzangu naomba kujuzwa jinsi ya kupata king'amzi ikiwezekana na dish lake kupata na kuangalia channel za mpira kwa bei nafuu. DSTV wamekua hawashikiki na sisi wapenzi wa soka inatuwia vigumu kuendana na spidi yao ya malipo kwa mwezi.