Natafuta King'amuzi cha Star Times

Natafuta King'amuzi cha Star Times

Hivi huwa mnaangalia UEFA na EPL ktk visumbuzi hivyo
 
hiyo hapo @ Mandwa
 

Attachments

  • 1415418616079.jpg
    1415418616079.jpg
    49.8 KB · Views: 140
Jamani bado natafuta king'amuzi mwenye nacho nijuze nina elfu 50

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Bado natafuta mzigo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Bado natafuta mzigo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

mkuu ukishapata unauza nn kwa bei ya juu nn, maana wadau wanakwambia wanavyo baada ya siku kadhaa unarud tena bado unataka mzgo
 
mandwa nipe namba yako pm nikupatie hiyo dikoda kesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom