makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 882
We cha nini kwanza? tuanzie hapoWakuu , Natafuta kichwa hicho kama kichwa habari nikajaribu hiyo kitu ya Japan baada ya kutumia Kubota ya China kwa miaka kumi. Vifaa vingine vipo hivyo nahitaji kichwa tu. Anayejua vinapouzwa hapa nchni na bei zake anijuze tafadhari.
Mtanisamehe huku mtandao shida, halafu mniwie radhi mimi ni mkulima kwa hiyo elimu yangu ni ya Tumbatu. Maana yangu ni kubwa unaponunua trekta dogo linakuwa na kichwa, trela, majembe ya kulimia na kuchakaa n.k. Hivi vingine ninavyojua tele ila ninachohitaji ni kichwa chenye injinia na giaboksi . Sijui kama nimeeleweka mpaka hapo.We cha nini kwanza? tuanzie hapo
OKMtanisamehe huku mtandao shida, halafu mniwie radhi mimi ni mkulima kwa hiyo elimu yangu ni ya Tumbatu. Maana yangu ni kubwa unaponunua trekta dogo linakuwa na kichwa, trela, majembe ya kulimia na kuchakaa n.k. Hivi vingine ninavyojua tele ila ninachohitaji ni kichwa chenye injinia na giaboksi . Sijui kama nimeeleweka mpaka hapo.
Asante mkuu karibu
Mkuu je hivi vitu vinapatikana hapa Tanzania?2000 Kubota
Car Price (FOB)
US$5,550
Estimated Total Price
US$6,417
View attachment 1079561
Car Price (FOB)
US$15,990
Estimated Total Price
US$16,979
View attachment 1079562
Mkuu kiwepesi ungeseema unahitaji tractor ya Kubota ungeeleweka mapema sasa ww umeongeza mbwembwe maana tractor hatujazoea kusikia kuwa nalo lina kichwa Bali ni tractor km tractor hivyo vingine ni parts zake tu.Mtanisamehe huku mtandao shida, halafu mniwie radhi mimi ni mkulima kwa hiyo elimu yangu ni ya Tumbatu. Maana yangu ni kubwa unaponunua trekta dogo linakuwa na kichwa, trela, majembe ya kulimia na kuchakaa n.k. Hivi vingine ninavyojua tele ila ninachohitaji ni kichwa chenye injinia na giaboksi . Sijui kama nimeeleweka mpaka hapo.
Mkuu kiwepesi ungeseema unahitaji tractor ya Kubota ungeeleweka mapema sasa ww umeongeza mbwembwe maana tractor hatujazoea kusikia kuwa nalo lina kichwa Bali ni tractor km tractor hivyo vingine ni parts zake tu.
Anyway hongera kwa kufanya kilimo kamanda,
Hata mimi nilimuelewa hiviMimi mkulima nimeshakuelewa unachokitaka. Kichwa cha Kubota huuzwa pamoja na majembe yake bila trela. Bei kwa mwaka Jana ilikuwa 9 millions, ila kuna kipindi ilipanda mpaka 12 millions. Wasiliana na Agricom wanazo hizo mashine na watakupa na bei inayotembea.
Kuwapata Agricom ingia tu google utayaona mawasiliano yaoView attachment 1080339
Kubota hizo za kijapani huko mbalali zinapatikana? ni mpya? na zinapatikana kwa kiasi gani?.Mimi mkulima nimeshakuelewa unachokitaka. Kichwa cha Kubota huuzwa pamoja na majembe yake bila trela. Bei kwa mwaka Jana ilikuwa 9 millions, ila kuna kipindi ilipanda mpaka 12 millions. Wasiliana na Agricom wanazo hizo mashine na watakupa na bei inayotembea.
Kuwapata Agricom ingia tu google utayaona mawasiliano yaoView attachment 1080339