Natafuta kichwa cha Kubota original toka Japan kipya

makundubhyali

JF-Expert Member
May 26, 2013
2,389
882
Wakuu , Natafuta kichwa hicho kama kichwa habari nikajaribu hiyo kitu ya Japan baada ya kutumia Kubota ya China kwa miaka kumi. Vifaa vingine vipo hivyo nahitaji kichwa tu. Anayejua vinapouzwa hapa nchni na bei zake anijuze tafadhari.
 
We cha nini kwanza? tuanzie hapo
 
2000 Kubota

Car Price (FOB)
US$5,550
Estimated Total Price
US$6,417

1079561

Car Price (FOB)
US$15,990
Estimated Total Price
US$16,979

1079562
 
We cha nini kwanza? tuanzie hapo
Mtanisamehe huku mtandao shida, halafu mniwie radhi mimi ni mkulima kwa hiyo elimu yangu ni ya Tumbatu. Maana yangu ni kubwa unaponunua trekta dogo linakuwa na kichwa, trela, majembe ya kulimia na kuchakaa n.k. Hivi vingine ninavyojua tele ila ninachohitaji ni kichwa chenye injinia na giaboksi . Sijui kama nimeeleweka mpaka hapo.
 
OK
 
Mkuu kiwepesi ungeseema unahitaji tractor ya Kubota ungeeleweka mapema sasa ww umeongeza mbwembwe maana tractor hatujazoea kusikia kuwa nalo lina kichwa Bali ni tractor km tractor hivyo vingine ni parts zake tu.

Anyway hongera kwa kufanya kilimo kamanda,
 
Asante mkuu kwa masahihisho yako ,ubarikiwe sana
Mkuu kiwepesi ungeseema unahitaji tractor ya Kubota ungeeleweka mapema sasa ww umeongeza mbwembwe maana tractor hatujazoea kusikia kuwa nalo lina kichwa Bali ni tractor km tractor hivyo vingine ni parts zake tu.

Anyway hongera kwa kufanya kilimo kamanda,
 
Mimi mkulima nimeshakuelewa unachokitaka. Kichwa cha Kubota huuzwa pamoja na majembe yake bila trela. Bei kwa mwaka Jana ilikuwa 9 millions, ila kuna kipindi ilipanda mpaka 12 millions. Wasiliana na Agricom wanazo hizo mashine na watakupa na bei inayotembea.

Kuwapata Agricom ingia tu google utayaona mawasiliano yao
images%20(1).jpeg
 
Mimi mkulima nimeshakuelewa unachokitaka. Kichwa cha Kubota huuzwa pamoja na majembe yake bila trela. Bei kwa mwaka Jana ilikuwa 9 millions, ila kuna kipindi ilipanda mpaka 12 millions. Wasiliana na Agricom wanazo hizo mashine na watakupa na bei inayotembea.

Kuwapata Agricom ingia tu google utayaona mawasiliano yaoView attachment 1080339
Hata mimi nilimuelewa hivi
 
Kubota hizo za kijapani huko mbalali zinapatikana? ni mpya? na zinapatikana kwa kiasi gani?.
 
Kwa mbarali zilikuwepo Igurusi na wauzaji wakiwa ni Agricom kwa 12 millions complete na 9 millions bila tela. Madibira zilikuwepo vichwa tu kwa 9 millions. Ni mpya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom