Pole ndugu(tatizo la ajira linatukabili wengi),mie ningependa kukushauri ukawaone watumishi wa Mungu kwa maombi au dhamiria kufunga na kusali maana Mungu yu mwema atafanya njia tu.
Mmmmh kaka maombi? Unadhani Mungu anahitaji wenyeshida ndio awasaidie? Mungu anachukia kuombwa ombwa ila anapenda kushukuliwa kwanza ukienda kuombewa kashukuru kwa uhai ulio nao na elim uliyo nayo baada ya mwez mmoja Wa shukran sasa ndio uombe. Lakin unatatizo haiwezekani uitwe interview then ukose Kazi utakua hujui kitu au unajua lakin hujiamini maana ndio shida zenu wana vyuo kutokujiamini na kua hamjui chochote kwa uzembewenu Wa kusoma kufaulu sio kusoma kuchapa Kazi
Ila sahau kuhusu kulogwa hujalogwa wala nini ... na familia kua makini kuwashirikisha kama ni wazee usiwashirikishe kwasababu utawaumiza tuu kwa mawazo kwa hela walizowekeza kwako
Biashara nenda kwa washauri Wa biashara watakusaidia... asante
Mwakasege anafanya semina ya maombezi kuanzia Ijumaa hadi Jumapili viwanja vya jangwani, nakushauri twende wote. Tumtumaini Mungu kwa kila jambo.
Wadau wa humu ndani hodi hodi
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 sina mke wa mtoto.Tatizo langu kubwa sins kibarua cha kunipatia kipato kwa sasa.Nina elimu ya degree ya Social Science .Kwa yeyote mwenye Upendo nahitaji anilink au anisaidie nipate kibarua hakika nimeapply sana but nahitwa kwa interview cpati ajira sijui kwanini.
Nimejaribu kufanya bishara mambo hayaendi mara mbili biashara imekata najaribu kuomba kazi now napo kimya.Right now am broke na hata Pesa ya kuendesha maisha yangu ni shida pambo la nilipopanga linaisha this month hakika no majanga sijui tatizo langu nini hakika moyo waniuma sana ndugu zangu.
Nachoweza sema nahitaji msaada wenu wa halo wa Mali nipate ajira wadau nami nikae poa. Nitashukuru kama yoyote atanisaidia katika hili.please pm me kwa more talk na kma umeguswa.
Nawasilisha.