Natafuta key board ya acer aspire one d255

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
Habarini za asubuhi wandugu, naomba msaada jamani, key board yangu imekufa leo asubuhi baadhi ya herufi hazi function, imetokea bada ya kuisafisha kwa kutumia spray, msaada kama inaweza kupona au wapi naweza kubadilishiwa mpya na kwa bei gani, mashine nina kazi nayo muhimu na ya haraka sana, naomba msaada wenu. mimi niko morogoro, hata dar naweza kuifuata kama itapatikana. asanteni
 
wadau hakuna mwenye nayo jamani anisaidie kuniuzia hiyo kitu?
 
Back
Top Bottom