Msaada wa bluetooth device for acer aspire one d255

Msaada wa bluetooth device for acer aspire one d255

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
Wadau,nina acer aspire one d255 lakini haina bluetooth,je ninaweza ku install bluetooth device software? Au kuna card mpaka ninunue niweke ndo naweza kupata bluetooth au ndo haiwezekan kuwa na bluetooth? Msaada wanajf!
 
kwa urahisi nunua bluetooth usb dongle...inapatkana sana ktka maduka ya vifaa vya computer hata pale mcity 4 10000
 
Kama laptop yako ina bluetooth device ndani yake lakini hauwezi kutumia bluetooth hiyo basi tatizo lako litakuwa ni drivers na ili kudownload drivers hizo nenda support.acer.com chagua aina ya computer yako na model na baada ya hapo utapewa drivers za kudownload zinazoendana na computer yako. Kama computer yako haina bluetooth device itakubdi ununue device
 
Asanteni sana wadau! Nimewapata vizur ntatafuta hyo device,yenyewe haina device nikiwa na device naweza kudown drivers hapo cna tatizo
 
Back
Top Bottom