Natafuta kazi

Natafuta kazi

Kazi ipo hom kwanza usiwe mweupe usiwe mrefu usiwe na shepu na usiwe na hair......nipm
 
Nahitaji dada wa kulea mume Wangu manake watoto wana dada mwingine. Kama unajua kutandika kitanda, kufua Na kupasi vizuri. Mara zingine uwe unamkata kucha. Nitahie mshahara
asante ila cwez kukaa n watoto
 
Saluni, nitumie picha pm na phone number. Na sema uko tayari kufanya kazi mkoa gani.
 
Hapa Kuna mshahara 40, utakuwa dukani kwa masaa kiasi, then boss akiwa unafanya ishu za ndani, kupika na usafi kiasi, hakuna mtoto
 
Nahitaji dada wa kulea mume Wangu manake watoto wana dada mwingine. Kama unajua kutandika kitanda, kufua Na kupasi vizuri. Mara zingine uwe unamkata kucha. Nitahie mshahara
haya makubwa hadi mume analelewa..wewe mke kazi yako ni nini sasa!!!
 
unataka kumuanzishia paw njia ama vipi? sijakuelewa kabisaa. hakuna ukaguzi, hata mimi nna ujuzi siku hizi wa kukagua.
hehehe wanawake na maendeleo😛layball:😛layball:
Roho mbaya haina posho........... Wacha kwanza nimukaguwe niwone kama atamufwaa.
 
unataka kumuanzishia paw njia ama vipi? sijakuelewa kabisaa. hakuna ukaguzi, hata mimi nna ujuzi siku hizi wa kukagua.
hehehe wanawake na maendeleo😛layball:😛layball:

NImesema nataka kumkagua. Mambo ya njia yametoka wapi?

Kama unazungumzia njia ya kupita kwa mguu mi sikuelewi labda kama unamaanisha njia ya kupita kwa kichwa.... regardless:A S-eek::A S-eek:
 
:A S 109:

:wacko::wacko::wacko::wacko:
NImesema nataka kumkagua. Mambo ya njia yametoka wapi?

Kama unazungumzia njia ya kupita kwa mguu mi sikuelewi labda kama unamaanisha njia ya kupita kwa kichwa.... regardless:A S-eek::A S-eek:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom