Mwanangu usihangaike kutafuta kazi hangaikia kutafuta pesa!wanajamii forum ninaomba kwa yoyote mwenye nia anisaidie kupata kazi nina elimu ya kidato cha cta na ni mchapa kazi na muaminifu nmeshafanya sehem mbalimbali kama cashier,maduka mbalimbali,saluni na hata migahawani.wanandugu nisaidieni tafadhali kwani yule anaekupa kazi anakuthamini zaidi kuliko anaekupa fedha. .
Cheq me on this 0719331441 sms only