Natafuta kazi

Natafuta kazi

waungwana naomben mnisaidie nipate kazi elimu kdato cha nne nipo dar es salaam umri wangu miaka 21 ninaweza kufnya kazi saluni za kiume,migahawan,vituo vy mafuta,kuuza maduka nk
 
kwanini sio saluni za kike mi nna saluni ya kike
 
waungwana naomben mnisaidie nipate kazi elimu kdato cha nne nipo dar es salaam umri wangu miaka 21 ninaweza kufnya kazi saluni za kiume,migahawan,vituo vy mafuta,kuuza maduka nk
Belvedere Restaurant imetangaza anafasi za kazi kwa MaCashier, Hostesses, na wengine. Tembelea zoom Tanzania page ya 3 utaona..
 
kwa jinsi ulivyojinadi kwenye heading ya thread utarajie kupata wanaume wa kukuchezea kuliko kazi
 
waungwana naomben mnisaidie nipate kazi elimu kdato cha nne nipo dar es salaam umri wangu miaka 21 ninaweza kufnya kazi saluni za kiume,migahawan,vituo vy mafuta,kuuza maduka nk

Kwanza prove huo urembo wako
 
Naomba namba yako dada mzuri mi sina kazi ila naomba tuwe majirani sana
 
Kazi ya kuwa Mdada Wa nyumbani house girl wife atakulipa 40000 ila Mimi nitakuwa nakulipa 160000 kama masharti na vigezo utazingatia
 
serikali kupitia shirika la elimu Tanzania na TPDC kwa ushirikiano na makapuni ya oil and gas,..wanatarajia kuajiri vijana wapatao 500 ktk sekta hii mpya Tanzania kuanzia mwezi january na mwezi march 2015,hivyo wameandaa crush program itakayoanza 6 october 2014..walengwa ni vijana wenye elimu ya form 4 na form 6 ambao watasoma kwa miezi 6 na kupelekwa kwenye ajira moja kwa moja baada ya kuhitimu!..kwa wale wenye elimu kuanzia diploma watasoma kwa miezi 3,kozi ya oil and gas management!...Ada kwa kundi la kwanza ni tshs 1,150;000 na kundi la pili ni Tsh 550,000 kwa yeyote mwenye kuhitaji fursa hii akachukue form shirika la elimu tanzania,application form ni Tsh 20,000 deadline ni tar 30 sept 2014
Copy & paste from Utumishi.
nimetuma kama nilivyoipata
 
We dada hueleweki...mara kidato cha nne...mara cha sita...duh...unaonekana hauko serious...mara unabadili heading eti 'mrembo natafuta kazi'....sasa urembo na kazi wapi na wapi...jinadi jinsi unavyoweza kufanya kazi...kama unataka mume sema tu watajitokeza...chezea jf...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom