mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,469
Sasa unabishana na boss wakoWw fkir Kabla ya kuandka....Unafkir mm n mtt nicye na ufaham??
Sasa unabishana na boss wakoWw fkir Kabla ya kuandka....Unafkir mm n mtt nicye na ufaham??
Umechemka kuweka namba wazi, wenye uhitaji wa mfanyakazi wangekuja pm mkaelewana.Mwenye Namba 0678853904
Shika adabu yako....M co mpumbavu mwenzio.....
Sasa unabishana na boss wako
HApanaSiku saba huwezi?
DarKwasasa uko wapi wangu?
endelea kusoma dogoKwasasa uko wapi wangu?
Pole sana dada kwa kejeli unazopata, watu wachache waliocoment kwa dharau na utani sio waungwana hawajui kumuheshimu mtu usiyemjua,umetumia lugha ya busara, hukustahili baadhi ya majibu wanayokujibu, anyway JF kuna watu wema pia naamini watakusaidia. Ushauri usiangaike kumjibu mtu anayeandika bila kutumia hekima. Jibu zuri kwa mpumbavu ni kukaa kimya. Ubarikiwe.Pch nilyotoa inatosha
Maximum siku ngap?HApana
Kuwa na hekima hata chembe mkuu.Sasa unabishana na boss wako
Hebu niinbox namba zako nikucheki tuongee
Ehee unataka mshahara wa sh ngapi mamaBoss!!
Cku 4Maximum siku ngap?
Anayekufuata bila adabu PM, copy ujumbe wake na jina lake weka huku kwenye huu uzi ili tujue watu wasio na hekima.Wapi waliokuja private na bd wakawa hawana adabu.....Mtu km anakuj Kwa lengo la kukukosea adabu hata huko private anaweza tuu