Natafuta kazi za ndani

Msiingie kwenye mtego kwa kupiga simu. Hao wamekuwa wakitumwa na baba Mkubwa. Ili awajue wachochezi. Mi nilijaribu kungia kwenye mtego bt walishindwa kwakuwa nilitumia namva nyingine. Na isiwe smart phone. Tafuta namba mpya na simu ya tochi.
...hovyo;kwahiyo akili yako inakutuma upo salama sana!?
..usitishe watu kipuuzi ukamkosesha riziki mtoto wa watu!
 
Duh cjaja huku muda Sana....Nawashukur wapendwa kw ushrkiano wenu....Ukimpata mtu wa kaz na mkaeshmiana kikaz n neema ya mung tuu....Sasa ninaendlea vzur na kaz...Mung n mwema mno kwangu
 
Dada mzima kama mzima ni furaha kwangu mimi nashida na msichana wa kazi za ndani Lakini awe ni wakuja na kuondoka maana na sababu za kufanya hivyo tatizo cijajua uko dar maeneo gani ila mimi niko tabata KIMANGA kama upo OK njoo tupatane kabisa.
Kwa kiwango gani cha mshahara
 
duh kwel ke noma... kaomba kaz chap watu wamejaa kucomment... me tumeomba kazi tangu mwaka jana comment 4 tu...
 
Mrejesho tafadhari, kwa wale waliopiga au kupigwa au dogo ulifanikiwa kupata kazi, mrejesho!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom