Natafuta kazi za ndani

Olv

Member
Jan 7, 2017
38
19
Nina miaka 25 natafuta kazi ya ndani Kwa part time ninaweza kufanya kazi zote za nymbani mara 3 au 4 Kwa wiki. Malipo ni makubaliano kulingana na kazi zenyewe mawasiliano yangu ni 0659449374 -0743621928 Kwa anaehitaji .
 
DarOTE="G.25, post: 19294858, member: 149801"]Uko mkoa gani dada?[/QUOTE]
Dar
 
  • Thanks
Reactions: JAK
[QUOTena ejoka90, post: 19297159, member: 407651"]Mbona no zako hazipatikan?[/QUOTE]
Pga tena
 
Nina miaka 25... Nataft kaz ya ndan Kwa part time.... Ninaweza kufany kaz zote za nymban....Mara 3 au 4 Kwa wki....Malipo n makubaliano kulingana ana kaz zenyew...Mawacliano yang n 0659449374......0743621928....Kwa Anaehtaj antaft:)
Bora utafute mume kabisa.
 
Nina miaka 25... Nataft kaz ya ndan Kwa part time.... Ninaweza kufany kaz zote za nymban....Mara 3 au 4 Kwa wki....Malipo n makubaliano kulingana ana kaz zenyew...Mawacliano yang n 0659449374......0743621928....Kwa Anaehtaj antaft:)
Nitafute kwa 0625478636
 
Me nahitaji mfanyakazi ni pm nikupe maelekezo npo dar
 
Nina miaka 25... Nataft kaz ya ndan Kwa part time.... Ninaweza kufany kaz zote za nymban....Mara 3 au 4 Kwa wki....Malipo n makubaliano kulingana ana kaz zenyew...Mawacliano yang n 0659449374......0743621928....Kwa Anaehtaj antaft:)
ume olewa?
 
E Heshima n ktu cha Bure ndugu... post: 19299512 said:
Ukitaka kupata kazi JF,Sema unatafuta Mume.
Sins Shaka kama kweli utaweza hiyo kazi ya ndani huku ukiwa tayari una account JF,nadhani utamwacha mtoto wa boss analia wewe upon bize kujibu PM na kucomment nyuzi.
Any way kila la heri!
Heshima n ktu cha
 
Tafadhali....Cpend mabshano....Kw hyo wanawake wote wanaofany kaz hawajaolewa??
 
Back
Top Bottom