- Thread starter
- #61
Zko
Hapo kweny maelezo yangHebu niinbox namba zako nikucheki tuongee
Hapo kweny maelezo yangHebu niinbox namba zako nikucheki tuongee
Ebu nifafanulie mkuu wanguKuwa na hekima hata chembe mkuu.
Siku nne ni jumatatu hadi alhamisi...huoni kwamba haupo sawa..kazi huwa zinaenda hadi ijumaa au jumamamosi ambapo labda mwajiri wako anakuwa off hyo sikuCku 4
Siku saba huwezi?
Majibu yako kwa huyu binti hayana hekima mkuu, kila mtu anashida mbalimbali, sio jambo la busara kufanya dhihaka kwenye shida ya mtu. Kama unahitaji mfanyakazi ongea naye tu kwa utu. Jaribu kufikiri angekuwa mama yako anaomba kazi ili akusomeshe afu unamjibu kama hivyo unavyomjibu huyu binti.Ebu nifafanulie mkuu wangu
Nina7b ya kuandka hvy...Wapo walioulza Nkawaelewesh vzur Zaid....Ndo maana nmeweka cmSiku nne ni jumatatu hadi alhamisi...huoni kwamba haupo sawa..kazi huwa zinaenda hadi ijumaa au jumamamosi ambapo labda mwajiri wako anakuwa off hyo siku
Naelewa watu tunatofautiana....hata nlipoweka namba nlikua najua nn kitafuata...Nitakabliana nao had nipate nachoktakaGwachupa said:Shida sio kutoa namba. Shida ni namba imetolewa wapi? Kuna watu wengine wakiona hivyo wanahis pengine mtu anatafta mume/bwana. Hivi kwani ukiona thread haikuhusu si utulie wanaeza kutoa msaada juu ya hilo watoe? Kwani ye huyo dada hawezi kusema anatafuta bwana hadi muanze kumsumbua? Kimsingi dada pole kwa usumbufu unaopata. Hii yote ni vile tunatofautian uelewa. Wengine wana uelewa mkubwa, wengine wa kati na wengine mdogo.
Labda jaribu kuulizia nyumba kwa nyumba kwa huko unapoishi
Maelezo yako ni mazuri sana. Lakini naomba kujua yafuatayo kabla sijafanya maamuzi:Nina miaka 25... Nataft kaz ya ndan Kwa part time.... Ninaweza kufany kaz zote za nymban....Mara 3 au 4 Kwa wki....Malipo n makubaliano kulingana ana kaz zenyew...Mawacliano yang n 0659449374......0743621928....Kwa Anaehtaj antaft🙂
Nomb cm yako tuongee hukoMaelezo yako ni mazuri sana. Lakini naomba kujua yafuatayo kabla sijafanya maamuzi:
1. Unaishi Dar sehemu gani
2. Ni kwenu ulipo zaliwa yaani hapo unapoishi na kama hapana we ni mwenyeji wa wapi.
3. Una mtoto
ahsante.
Tayari washamtimbia hewan
Mwambie mwayaNi mechi tu umewaza hamna kingine cha maana labda
Hu!huuu!!huuuuu!!!.......kuna risk ya wewe kuweka screenshot zangu za pm hapa,twafadhali usifanye hivyo!Mwenye Namba 0678853904
Shika adabu yako....M co mpumbavu mwenzio.....
Nashukuru kama umeweza kulimudu hilo, ila nimeona kuna tangazo mtu anataka mfamyakaz wa ndani mi naona hio ndo njia bora zaid uwe tu unafatilia ukiona tangazo la mtu unaongea nae direct.Nayajua hayo ndug...Ahsant Kwa onyo....Wamejtokeza wakwl na wanaotaka stareh.... Nmewezakukabliana nao....Ninanitambua..ahsant
heee!!!kazi za ndani na chura wapi na wapiChura ipo?