Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

Kama hujala tangu jana kweli una kifurushi cha kukuunganisha na JF.
Natamani nikuone na nione kama kweli unaajirika au ni mtu mwizi tu unayetafuta pahala upore na uondoke.
hahah mkuu, kwa simu anayoitumia haihitaji MBs nyingi kuifikia jamiiforums, tsh 50 pekee anaweza kuperuzi kwa siku mbili
 
Watu mna maswali ya kiwaki kichizi.

Dogo hata uandishi tu ni kamzozo, mtu anamletea jitabu la page 400, mwingine nae anakuja na mswali kibao mpaka hesabu.

Kama umeamua kumsaidia msaidie, mawasiliano kaweka hapo, mpigie mfanyie interview, ukiridhika nae mchukue.
Sio mnaanza kujichukulia point 3 kwa dogo alaa.

Kijana viwanda daily vinahitaji watu ni nguvu zako tu.
Bakhresa pale ni tin na barua ya mtendaji tu.
Ubungo garage kiwanda cha sabuni ni account ya crdb tu.
Kiwanda cha nguo external pale ni nida na kitambulisho cha mpiga kura.
Pepsi pale vingunguti ni kuwahi kwako nadhani jumamosi ndo huwa wanachukua vibarua.

Na kama huna namba ya nida fanya uitafute na uwe nayo ni muhimu sana hapa mjini, uwe na tin namba bila kusahau paspot zakp hata 6, siku kikinuka popote unapeleka nyaraka zako hizo.
Ukijipata tafuta leseni.
 
asante sana kaka nikijipata nitajitahidi kuyafanya uliyonielekeza hata mimi nilitamani kuwa na nida
 
asante sana kaka nikijipata nitajitahidi kuyafanya uliyonielekeza hata mimi nilitamani kuwa na nida
Jitahidi uipate,
Anza kwa kuchukua ile fomu ofisi ya mtaa wako ni bure kabisa, ijaze uipeleke ofisi za nida.
 
Habarini ndugu wana jf.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21,elimu yangu ni form 2.Sikuweza kumaliza shule kwa sababu maisha ya nyumbani sio mazuri familia yetu ni ya mama mmoja na watoto watatu wa kiume na mimi ni wa kwanza kuzaliwa.Ninaomba msaada wa kazi ya aina yoyote ndugu zanguni maana kwa upande wangu kila siku afadhali ya jana mfano leo tangu asubuhi nimetoka nyumbani (ninaishi na marafiki wa5 ghetto mwananyamala kisiwani ila kiasili baba mmakonde mama ni wa Tanga na siishi nao) alfajir kwenda kutafuta kazi masaki ila nimeambulia patupu na sijala tangu jana mchana hapa nilipo ni mawazo mabaya yananiandama naombeni mnisaidie mi ni mchapakaz mzuri tu shida kazi ndo sina.Nipo tayari kwa kazi yoyote na mwenyezi mungu awape wepesi wa mioyo natumaini kilio changu kitasikika amiina 0694925915
Umenunuaje smaryphone na kifurushi juu.?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Haya maisha Wacha tu Kuna kipindi nilijuta kuzaliwa! Usikate tamaa dogo utapata kibarua wapo watakao jutokeza wenye fursa
 
Haya maisha Wacha tu Kuna kipindi nilijuta kuzaliwa! Usikate tamaa dogo utapata kibarua wapo watakao jutokeza wenye fursa
kaka hicho kipindi ndo nakipitia mimi sasa hivi ila naamin nitavuka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom