Natafuta kazi yoyote

Watu mna maswali ya kiwaki kichizi.

Dogo hata uandishi tu ni kamzozo, mtu anamletea jitabu la page 400, mwingine nae anakuja na mswali kibao mpaka hesabu.

Kama umeamua kumsaidia msaidie, mawasiliano kaweka hapo, mpigie mfanyie interview, ukiridhika nae mchukue.
Sio mnaanza kujichukulia point 3 kwa dogo alaa.

Kijana viwanda daily vinahitaji watu ni nguvu zako tu.
Bakhresa pale ni tin na barua ya mtendaji tu.
Ubungo garage kiwanda cha sabuni ni account ya crdb tu.
Kiwanda cha nguo external pale ni nida na kitambulisho cha mpiga kura.
Pepsi pale vingunguti ni kuwahi kwako nadhani jumamosi ndo huwa wanachukua vibarua.

Na kama huna namba ya nida fanya uitafute na uwe nayo ni muhimu sana hapa mjini, uwe na tin namba bila kusahau paspot zakp hata 6, siku kikinuka popote unapeleka nyaraka zako hizo.
Ukijipata tafuta leseni.
Mjini hapa mkuu!
Kila mtu anaishi kwa akili yake.
 
Sumu no moja kukaa vijiweni,kukaa home umelala utakufa
We wahi kariakoo au masokoni jibu utalipata TU,usichoke kuongea na watu ukifika huko watakushika mkono
 
hapana ndugu naifuatilia jamiiforum tangu 2017 niliifaham kupitia free basics ilikuwa inapatikana bure
Umesema una miaka 21

Hapa unasema umeifatilia JF toka 2017 ambayo ni miaka 7 imepita, je kwa umri huo wa miaka 14 ulikuwa na smartphone?
 
jamiiforum,mwanaspoti na bbc zilikuwa ni huduma za bure kutoka free basics katika tekno na itel zote za batani zenye opera mini sasa hivi naipata kupitia google
 
una sim inayotumia opera mini nikuelekeze cha kufanya mkuu ili kukutoa wasiwasi?
 
We jamaa huwa uko makini Sana, huna utoto kabisa.
Watu mna maswali ya kiwaki kichizi.

Dogo hata uandishi tu ni kamzozo, mtu anamletea jitabu la page 400, mwingine nae anakuja na mswali kibao mpaka hesabu.

Kama umeamua kumsaidia msaidie, mawasiliano kaweka hapo, mpigie mfanyie interview, ukiridhika nae mchukue.
Sio mnaanza kujichukulia point 3 kwa dogo alaa.

Kijana viwanda daily vinahitaji watu ni nguvu zako tu.
Bakhresa pale ni tin na barua ya mtendaji tu.
Ubungo garage kiwanda cha sabuni ni account ya crdb tu.
Kiwanda cha nguo external pale ni nida na kitambulisho cha mpiga kura.
Pepsi pale vingunguti ni kuwahi kwako nadhani jumamosi ndo huwa wanachukua vibarua.

Na kama huna namba ya nida fanya uitafute na uwe nayo ni muhimu sana hapa mjini, uwe na tin namba bila kusahau paspot zakp hata 6, siku kikinuka popote unapeleka nyaraka zako hizo.
Ukijipata tafuta leseni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom