Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

Najuwa wasamalia wengi watajitokeza na kuoffer nini cha kukusaidia.

Ila Kwa ushauri anza sasa kufanya research ni bar au Pub gani ina mzunguko mkubwa wa wateja wa chakula na hakuna kitengo cha matunda ongea na manager Muombe unataka kutowa huduma ya matunda kwenye eneo hilo.

Wastani wa bei ya plate ya matunda ni sh 1000/= na uzuri Watanzania wengi sasa hivi ni wagonjwa wanaotembea umuhimu wa Kula matunda wanaujuwa, unachopaswa ni kuwa msafi wa mavazi shati jeupe na aproan na huduma yako iwe ya usafi wa Hali ya juu hapo umetobowa.

Mimi naweza kukusapoti ukiweza hii proposal, lakini ni option tu Kati ya nyingi utakazoshauriwa hapa.
Haya ndo maneno sasa so unaanza kumpa kitabu😂😂😍😍
Ushauri mzuri
 
Mshahara wako unatakiwa ulipwe kwa kuangalia nini;
Mfano wa fomula:
Mshahara = 20,000 + % mauzo;
Hii inamaana kwamba, kama kwa mwezi husika hakuna masoko yaliyopatikana, utapokea 20,000 tu.
sawa naomba tuwasiliane 0694925915
 
Habarini ndugu wana jf.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21,elimu yangu ni form 2.Sikuweza kumaliza shule kwa sababu maisha ya nyumbani sio mazuri familia yetu ni ya mama mmoja na watoto watatu wa kiume na mimi ni wa kwanza kuzaliwa.Ninaomba msaada wa kazi ya aina yoyote ndugu zanguni maana kwa upande wangu kila siku afadhali ya jana mfano leo tangu asubuhi nimetoka nyumbani (ninaishi na marafiki wa5 ghetto mwananyamala kisiwani ila kiasili baba mmakonde mama ni wa Tanga na siishi nao) alfajir kwenda kutafuta kazi masaki ila nimeambulia patupu na sijala tangu jana mchana hapa nilipo ni mawazo mabaya yananiandama naombeni mnisaidie mi ni mchapakaz mzuri tu shida kazi ndo sina.Nipo tayari kwa kazi yoyote na mwenyezi mungu awape wepesi wa mioyo natumaini kilio changu kitasikika amiina 0694925915
watu wenye shida kiasi hicho huwa hawawezi kuwaza kuja JF na huwa hawapajui kabisa.Naamini huyu ni kaka mtu anamtafutia kibarua nduguye.Sio mbaya.
 
watu wenye shida kiasi hicho huwa hawawezi kuwaza kuja JF na huwa hawapajui kabisa.Naamini huyu ni kaka mtu anamtafutia kibarua nduguye.Sio mbaya.
hapana ndugu naifuatilia jamiiforum tangu 2017 niliifaham kupitia free basics ilikuwa inapatikana bure
 
hapana ndugu naifuatilia jamiiforum tangu 2017 niliifaham kupitia free basics ilikuwa inapatikana bure
Kama hujala tangu jana kweli una kifurushi cha kukuunganisha na JF.
Natamani nikuone na nione kama kweli unaajirika au ni mtu mwizi tu unayetafuta pahala upore na uondoke.
 
Kama hujala tangu jana kweli una kifurushi cha kukuunganisha na JF.
Natamani nikuone na nione kama kweli unaajirika au ni mtu mwizi tu unayetafuta pahala upore na uondoke.
daah,omba sana mungu yasikukute ila najiunga kifurushi cha wiki 1000 napata dkk na mb 350 kuhusu sim yangu natamani tungebahatika kuonana ili nikuonyeshe inavyotumia opera mini.narudia mitihani ni yetu sote ila omba sana mungu asikupitishe njia tunazopitia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom