Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

Upo mwananyamala unaenda kutafuta kazi masaki!!....si uingie hapo mwananyamala sokoni uombe kazi hata ya kubeba mizigo! Kipindi cha mvua unaweza kukaa na dumu la maji unanawisha watu wanaotoka sokoni humo kwa sh 200...unaokota pesa. Daslamu si ya kulalamika kuhusu kazi
 
Ukijibu hili swali vizuri, ujipangie kabisa na mshahara.

Kampuni x inayoshughulika na vinywaji, imezalishwa mzigo wa kreti 500,000; kutokana na mzigo kuwa mkubwa, kampuni x inatafuta kijana wa masoko, atakayeiwezesha kampuni kuuza mzigo wa kreti 5000 kwa siku.

Kama mtafuta ajira, unawezaje kulifanikisha hilo?​
 
nafikiri nitatakiwa kuzunguka katika maduka makubwa na baa ili kuwatangazia kuhusu bidhaa yetu nafikiri itatakiwa matangazo sehemu zote zinazoshughulika na vinywaji
 
nishakujibu mkuu
 
biashara yoyote kaka kutegemea na wew utakavyoona inafaa
Najuwa wasamalia wengi watajitokeza na kuoffer nini cha kukusaidia.

Ila Kwa ushauri anza sasa kufanya research ni bar au Pub gani ina mzunguko mkubwa wa wateja wa chakula na hakuna kitengo cha matunda ongea na manager Muombe unataka kutowa huduma ya matunda kwenye eneo hilo.

Wastani wa bei ya plate ya matunda ni sh 1000/= na uzuri Watanzania wengi sasa hivi ni wagonjwa wanaotembea umuhimu wa Kula matunda wanaujuwa, unachopaswa ni kuwa msafi wa mavazi shati jeupe na aproan na huduma yako iwe ya usafi wa Hali ya juu hapo umetobowa.

Mimi naweza kukusapoti ukiweza hii proposal, lakini ni option tu Kati ya nyingi utakazoshauriwa hapa.
 
nafikiri nitatakiwa kuzunguka katika maduka makubwa na baa ili kuwatangazia kuhusu bidhaa yetu nafikiri itatakiwa matangazo sehemu zote zinazoshughulika na vinywaji
Umepatia kwa 40%, mafunzo ya kabla ya kazi ni muhimu; kawaida kazi ya mauzo huwa ni ya kamisheni, jinsi unavyozidi kuuza/kupata masoko ndivyo mshahara/mapato yako yanavyoongezeka.

Kwa upande wako, fomula gani ni sahihi kwako kulipwa?​
 
Najuwa wasamalia wengi watajitokeza na kuoffer nini cha kukusaidia.

Ila Kwa ushauri anza sasa kufanya research ni bar au Pub gani ina mzunguko mkubwa wa wateja wa chakula na hakuna kitengo cha matunda ongea na manager Muombe unataka kutowa huduma ya matunda kwenye eneo hilo.

Wastani wa bei ya plate ya matunda ni sh 1000/= na uzuri Watanzania wengi sasa hivi ni wagonjwa wanaotembea umuhimu wa Kula matunda wanaujuwa, unachopaswa ni kuwa msafi wa mavazi shati jeupe na aproan na huduma yako iwe ya usafi wa Hali ya juu hapo umetobowa.

Mimi naweza kukusapoti ukiweza hii proposal, lakini ni option tu Kati ya nyingi utakazoshauriwa hapa.
nitashukuru mkuu ila ningepata mawasiliano yako ili nikipata sehemu nikufahamishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom